top of page

Makala za Mwanadikala


Tukubali, Tusikubali Tuna Bunge la Hovyo Sana!
Tukubali tusikubali, tuna Bunge la hovyo. Hii ni kauli inayozidi kuenea miongoni mwa Watanzania wengi waliokerwa na mwenendo wa Bunge la...
3 days ago
0


UTEKAJI NA USALAMA NCHINI: Uchambuzi wa Kauli ya Mhe. Gwajima na Mapendekezo ya Kuimarisha Ulinzi wa Raia
Tarehe 24 Mei 2025, Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mhe. Askofu Dkt. Josephat Gwajima, alizungumza na waandishi wa habari na kutoa tahadhari...
5 days ago
0


“Heri Mwisho wa Jambo Kuliko Mwanzo Wake”: Uchambuzi wa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan
“Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake” (Mhubiri 7:8). Maneno haya ya Mhubiri yamebeba uzito mkubwa kwa viongozi – hasa katika kipindi...
May 22
0


Maandalizi ya Uchaguzi Kweli, au Hekaheka za Kutafuta Uhalali wa Kutawala?
Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025 yanaendelea kwa kasi, lakini hali ya kisiasa inayoambatana na maandalizi hayo...
May 17
0


Bunge Lisifanye Mzaha Kwenye Mambo ya Msingi
Bunge ni chombo muhimu katika kuwakilisha wananchi, kutunga sheria, na kusimamia serikali. Hivyo basi, linapaswa kuwa sauti ya ukweli,...
May 11
0


Viaticum - Sakramenti ya Mwisho
Ilikuwa jioni tulivu kwenye viwanja vya ikulu ya Kipapa ya Vatican. Jua lililokuwa likizama lilitengeneza vivuli virefu vya rangi ya...
May 2
0


CHANZO CHA WANANCHI KUKOSA HAKI KISHERIA: Mfumo wa Utawala Usio na Uwajibikaji (Systemic Failure)
Wiki hii kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu idadi kubwa ya watu wasio na hatia waliotupwa katika magereza mbalimbali nchini. Mahabusu hao...
Apr 29
0


Tunajenga Tanzania Mpya Isiyokuwa na Haki: Wapinzani Wateswa Serikali Yafumbia Macho
Katika kile kinachoonekana kuwa mwendelezo wa dhuluma dhidi ya demokrasia, polisi nchini Tanzania wamerudia tena mazoea yao ya kikatili...
Apr 26
0


Kifo cha Papa: Umuhimu, Nguvu, na Athari kwa Dunia Maskini
Kifo cha Papa – kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani – ni tukio lililogusa hisia za watu wengi, hata wale ambao si Wakatoliki. Watu...
Apr 26
0
bottom of page